Skip to content

Elimu

Maji

Afya

Takwimu

Seti za Takwimu Mpya

Imeandaliwa na: National Bureau of Statistics

Wastani wa idadi ya watu kwa kaya kwa mwaka 2012 umebakia karibu sawa na ule wa mwaka 2002. Wastani ulikuwa watu 4.9 kwa kaya mwaka 2002 na watu 4.8 mwaka 2012.

Soma Zaidi

Imeandaliwa na: National Bureau of Statistics

Idadi ya watu kwa kilometa moja ya mraba Tanzania ni watu 51, huku kukiwa na tofauti kimkoa. Msongamano wa watu ni mkubwa zaidi kwa mikoa ya Dar es Salaam (watu 3,133 kwa kilometa moja ya mraba) na Mjini Magharibi (watu 2,581 kwa kilometa moja ya mraba).

Soma Zaidi

Imeandaliwa na: Ministry of Education and Vocational Training

Zifuatazo ni takwimu zinazoonyesha idadi ya Wahitimu kutoka Vyuo vya Ufundi Stadi na Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi Tanzania Bara. Takwimu hizi zimetolewa zikionyesha idadi ya wahitimu hao kwa mikoa, wilaya, vyuo walivyohitimu na jinsia.

Soma Zaidi